Ashinda Milion 120 katika mchezo wa Aviator (kindege)

 


 

Abas kutoka Dar es salaam jion ya Frebuary 2.2026 ameibuka na ushindi wa tsh milion 120 kutoka katika mchezo wa kindege ujulikanao kama aviator . Taarifa ya betway katika mitandao yakijamii imeeleza.

Kuhusu Mchezo wa Aviator

Huu ni mchezo wa kuweka dau kisha ndege hupaa huku alama zikiongezeka. Ndege inapoungua au kupeperuka kabla hujachukua ushindi huhesabika kuwa umepoteza. Hakuna alama maalumu ambazo ndege huweza kupaa, mara nyingine huungua (flew out katika alama ya mwanzo kabisa 1.0) lakini kwa kawaida kadri unavyosubiri muda mrefu ndio unaongeza uwezekano wakupoteza, lakini wakati huo kiasi cha ushindi huongezeka.

Ukweli kuhusu kushinda Kiasi kikubwa (Jackpots )

Kama tulivyokwisha kuona hakuna alama maalumu ambazo ndege inaweza kufika lakini inaweza kupaa hadi zaidI ya mamilion ya alama (odds) na ikitokea ni round ya jackpot hata kama ungekuwa umeweka kiasi kidogo sana unaweza kushinda fedha nyingi ambazo itatolewa automatic unapofikia kiasi cha mwisho cha ushindi. Yani kama kampuni imeweka kiasi cha mwisho cha ushindi ni milion 200 hutaweza kushinda zaidi ya hapo hata kama ndege ikiwa bado inaendelea itajicashout autimatic huku ndege ikiendelea na safari.

Je kunazo mbinu za kucheza kindege ( Aviator )

Kwa hakika kushinda ni bahati lakini kuamua kiasi unachoweza kushinda ndio huathiri ushindi wako. Kuamua ku chukua ushindi mapema kunaweza kukuokoa kupoteza wakati ukisubiri kushinda fedha nyingi.

Kuangalia historia kunaweza kukupa mwanga jinsi mchezo unavyokwenda.

Ungependa kucheza Aviator Ya Betway Tanznia Bofya >HAPA> 

Mara zote kumbuka kucheza kistaarabu





Post a Comment

Previous Post Next Post