Jinsi ya kujisajili Fansport Tanzania

 


Fansport nikampuni ya kubashiri  na kucheza kasino mtandaoni . Iliyosajiliwa kimataifa kwenye taarifa zifuataza,

"Fan-sport.com is owned and operated by Interactive Betting N.V. registered under No. 142759 at Dr.H.Fergusonweg 1 Curacao as a Licence Holder; and operated by Almeron Limited registered under No. HE361095 at Spyrou Kyprianou 84, Limassol, Cyprus as an independent representative entity . This website is licensed and regulated by Curacao Gaming Control Board (Curacao licence No. OGL/2024/537/0691).

Kwa watumiaji wa Tanzania wanaweza Kujisajili  kwa promo code ya fansport  AB88

table of Content

  1. Kujisajili Fansport kwa Haraka
  2. Promo code ya fansport
  3. Jinsi ya kuweka na kutoa pesa Fansport
  4. Jinsi ya kupakua app ya fansport
  5. Hitimisho.
Hizi hapa Hatu za kujisajili.
Kwa watumiaji wapya wa fansport wanatakiwa kufuata hatua hizi ili kujiandikisha na kuanza kubeti na fansport.
  • Hatua ya kwanza, Tembelea tovutu ya fansport https://fan-sport.com/en
  • Bofya jisajili kisha uchague njia ya kujiandikisha . 
  • Jaza namba yako ya simu kisha send sms utatumiwa code jaza
  • Tengeneza password  yako
  • Jaza promo code AB84
  • Bofya kibox cha kukubali sheria na masharti
  • Bofya Register
Angali picha jinsi ya kujisajili Fansport kwa  kwa number ya simu


Angali picha jinsi ya kujisajili Fansport kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Promo Code Ya Fansport
Hii ni nambari maalumu ya kujiunga kwa watumiaji wapya, namba hii hujazwa mara moja kama chaguo wakati wa kujiunga ambayo ni ,  AB84  vile vile huambatana na bonasi mbalimbali kwa wateja wapya hadi  290,000.
Hujazwa wakati wa kufungua account mpya. 

Hatua za ku download  app ya Fansport.
Hii ni hatua ya kusakinisha app ama faili la fansport  katika kifaa chako na kusaidia urahisi wa kutumia.  Hapa ni hatua kwa hatua jinsi ya kuweza kupakua.
1. Kubali kupokea fail  nje ya playstore,  accept from unknown  source.
2. Ingia katika tovuti ya fansport
3. Bofya kupakua app
4. Utaona inaanza kuingia katika simu yako
5. Bofya faili lililopakuliwa ku install
6. Bofya kujisajili
7. Jaza taarifa zinazohitajika pamoja na promo code AB84
Mpaka hapo tayari utakuwa na account yako na unaweza kufurahia huduma za fansport katika simu yako.
Jinsi ya Kuweka na kutoa pesa
Unaweza kutoa na kuweka pesa katika account yako ya Fansport  kwa njia rahisi, kwakutumia simu yako ya mkononi unaweza kuweka pesa kwa , Mpesa, halopesa, Airtel money, mix by yass, njia za bank , Visa na master card, Skrill, cryptosystem , USDT, binance, BTC na njia nyingine nyingi. Njia iliyotumika kuweka pesa ndio njia ambayo utaitumia kutolea pesa.

NB , nimuhimu kusoma masharti ya bonasi  kabla ya kukubali kwani kuna bonasi ambazo huambatana na masharti mbalimbali ambayo ni lazima yatimizwe na mchezaji. 

Mawasiliano ya Fansport kama una changamoto yoyote.
Je una changamoto yeyote kama kukosea password , password unaweza ku recover mwenyewe kwa kubofya forgotten  password. 
Ikiwa una changamoto  nyingine unaweza kuwasiliana kwa kutumia live chat au barua pepe ya fansport . Mawasiliano ya jumla tumia , support@fan-sport.com
Idara ya usalama tumia , security@fan-sport.com, msaada wa ufundi, support@fan-sport.com
Tatizo la malipo tumia , payments@fan-sport.com

Hitimisho.
Kumbuka kucheza kistaarabu na kucheza kwa kuwajibika. Cheza kiwango unachokimudu

Post a Comment

Previous Post Next Post