Pmbet nikampuni ya kubeti mtandaoni pamoja na michezo ya casino nchini Tanzania. Pmbet pia huhusika na kubashiri katika maduka yaliyoenea sehemu mbalimbali nchini Tanzania, Pmoja na hivyo huwezi kujisajili katika kampuni ya pmbet bila kuwa na Promo code. Kwasasa promo code ya pmbet ni A84 , Promo cde hiii hutumika mara moja wakati wa kujisajili kwa wateja wapya.
Promo code ni kitu gani? Hii ni namba maaulumu ya utambullisho ambayo hutumika mara moja wakati wa kujiunga na mara nyingi huweza kuambatana na bonasi mbalimbali kwa wateja wapya hasa pale wanapotimiza masharti mbalimbali ya bonasi yaliyopo , kama vile kiwango cha mwanzo cha kudepositi, kuweka mikeka miongoni mwa mambo mengine. Katiak andiko hili tutaangalia mambo mbalimbali wakati wa kujisajili pmbet kwa promo code na jinsi ya kuweza kutumia
Kuhusu kampuni ya pmbet Tanzania
Hii nikampuni ya kubashiri yenye zaidi ya miaka 15 katika tasnia ya michezo ya Bahati nasibu Tanzania. Kampuni hii inapatikana katika kikoa cha www.pmbet.co.tz ambapo unaweza kujisajili na kuweka madau mbalimbali. Kampuni hii hutoa zaidi ya matukio 50,000 ya michezo pamoja na mashindano zaidi ya 12000. Kampuni hii pia husifika kwa kuwa na alama za juu zaidi, matukio mengi, huduma za haraka za kuweka na kutoa pesa miongoni mwa mambo mengine.
JINSI YA KUJISAJILI PMBET TANZANIA
Kujua jinsi ya kujiandikisha pmbet kwa haraka nimiongoni mwa mbao unayopaswa kujua pale unapohitaji kufungua account mpya ya pmbet. Hapa chini tunakuwekea hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kujisajili kww aharaka na kuanza kutumia pmbet
Tembelea tovuti ya pmbet.co.tz au ingia google na tafuta pmbet Tanzania
Bofya register au jiunge
Jaza namba yako ya simu unayotumia kwa usahihi bila kuanza na 0 au msimbo wa kimataifa +255, badala yake anza kujaza 788 au 679 kulingana na mtandao husika unaotumia
Jaza password
Jaza password kwa mara nyiiungine yajuu nilazima ifanane na yachini
Chagua siku, mwezi na mwaka wa kuzaliwa
Jaza promo code , A84
Bofya dhibitisha au confirm
Mpaka hapo utakuwa umesha andikisha account mpya ya pmbet sasa unaweza kuendelea kutumia pmbet kwa kuendelea na hautua nyingine kama kuweka pes ana kuanza kucheza
Jinsi ya kuanza kubeti
Kwanza unapaswa kuchukua tahadhari kabla ya kuanza kubeti kwa kufahamu , betting ni starehe na sio chanzo cha kipato huku ukizingatia kucheza kistaarabu na kucheza kiwango unachoweza kuhimili kama ukipoteza
Baada ya kusajili aacount na kuweka pesa kwenye account yako sasa unaweza kuchagua mchezo husiak unaotaka kubeti kisha kuchagua alama za ushindi. Bofya moja kuchagua timu ya nyumbani kushinda, X kuchagua sare, 2 kuchagua timu ya ugenini kushinda. 12 kwa alama za mkupuo au double chance ya yumbani au ugenini, 1x nyumbani au sare, 2x ugenini au sare, over 1.5 kwa maogoli zaidi ya moja miongoni mwa alama nyinginezo..
USAJILI WA KAMPUUNI YA PMBET
Kampuni ya pmbet imesajiliwa kwa bodi ya michezo ya Bahati nasibu na kupewwa leseni number, SBI0000000034 Hivyo inafanya kazi Tanzania kwa mujibu wa sheria za michezo ya Bahati nasibu.

Post a Comment