Unatafuta kuhusu pmbet promo code? Pmbet promo code ni A84 , hutumika wakati wa kufungua account mpya ya pmbet. ili kupata bonasi pindi utakapoweka pesa kwa mara ya kwanza.
Hatua za kujisajili Pmbet Tanzania ⚽
Ili uweze kujiunga na pmbet tanzania fuata hatua hizi
- Tembelea tovuti ya pmbet TANZANIA
- Jaza namba ya simu
- Tengeneza passwords yako
- Thibitisha passwords kwa kuijaza tena
- Weka tarehe, mwezi na mwaka wakuzaliwa
- Jaza promo code ya pmbet ambayo ni A84
- Bofya comfirm kujisajili.
- Baada ya hapo unaweza kuweka pesa na kuanza kubeti pamoja na kucheza kasino na kampuni ya pmbet.
Jinsi ya kuweka pesa Pmbet 💰
Unaweza kudeposit pesa katika account yako ya pmbet kwa njia ya Mpesa, tigo pesa (mixx by Yas, Halopesa , Airtel money, pamoja na selcome. Bofya palipoandikwa deposit na uchague kuweka moja kwa moja, ingiza kiasi, kisha deposit
Maswahili yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Pmbet promo code ?
- Je nilazima kujisajili na promo code?
Jibu ni ndio huwezi kufungua account ya pmbet bila kuwa na promo code kwa sasa. Promo code inayotumika ni A84
- kuna faida ya kuwa na pmbet promo code?
Ndio kujaza pmbet promo code itakusaidia kupata bonus pindi utakapoweka pesa kwa mara ya kwanza.
- Ukijaza promo code utaweza kupata cashout Pmbet ?
Ndio katika kampuni ya pmbet kuna huduma ya cashout.
Hitimisho : Pmbet nikampuni salama kubashiri kwani imesajiliwa na kuidhinishwa na bodi ya michezo ya kibashiri tanzania. Hivyo inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na hufuata miongozo na sheria za gambling board Tanzania pamoja na sheria za wizara ya fedha na mipango. Aidha ni miongoni mwa kampuni zinazohimiza kubashiri kistaarabu
Post a Comment