Jinsi ya kutoa Pesa 888starz Tanzania

 888starz ni miongoni mwa kampuni maarufu za kubashiri mtandaoni , ikiwa na michezo mbalimbali. Hapa tutaeleza jinsi ya kuweka pesa 888tarz na kutoa pesa.

Jinsi ya kujisajili 888starz

Je hauna account  ya 888starz na ungependa kujiunga? Fanya hatua hizi

  • Tembelea tovuti ya 888starz google au kiungo www.888starz.bet au bofya >HAPA> Kuingia moja kwa moja
  • Jaza taarifa zinazohitajika
  • Jaza promo code ya 888starz ambayo ni A84
  • Jiunge
Jinsi ya kuweka pesa 888starz
Kuweka pesa 888starz ni rahisi unaweza kuweka pesa kwa njia zote za  simu ya mkononi kama vile, Mpesa, Mix by yass, halopesa na airtel money. Vile vile unaweza kuweka pesa kwa njia za mtandaoni kama vile bitcoin na crypoto currency  pamoja na skrill

Jinsi ya kutoa pesa
Mara nyingi njia za kutoa pesa zinaweza kubadilika, lakini unatakiwa kutoa pesa kwa njia uliyotumia kuweka pesa 888starz. Hata hivyo unaweza kubadilisha kulingana na njia zilizopo siku hiyo. Unashauriwa kutumia recommended methods hasa ile iliyoorodheshwa yakwanza kutoa pesa yako bila kujali mtandao husika. Njia unazoweza kutoa pesa ni Mpesa, tigo pesa, halopesa, airtwl money, au njia nyinginezo. Kumbuka kama utatumia njia ambayo siyo sahihi hela itarudishwa kwenye account yako ili utumie njia sahihi katika kutoa pesa. Nimuhimu kujaza taarifa zako muhimu na zinazohitajika.
Njia mbalimbali za kutoa pesa 888starz Tanzania

Mwisho: Endelea kusoma taarifa mbalimbali kutoka katika tovuti yetu

Post a Comment

Previous Post Next Post