Betkumi ni kampuni ya kasino za mtandaoni ambapo mtu anaweza kujisajili na kuanza kucheza michezo mbalimbali ya kasino kama crash game, slots, fast games, spin games miongoni mwa michezo mingine. Katiks tovuti ya betkumi kuna michezo mbalimbali kama vile Aviator , Jetx ,Aztec na michezo mingine mingi.
Jinsi ya Kujisajili Betkumi
Betkumi kama tulivyokuwisha kuona hapo juu inahusika na michezo ya kasino hivyo usajili wake ni rahisi sana, fuata hatua hizu mbili kufungua accounts yako ya Betkumi
1. Ingia Tovuti ya Betkumi kwa kubofya >HAPA>
2. Jaza namba ya simu
3. Tengeneza password yako
Baada ya hapo account yako ya Betkumi itakuwa tayari
Njia za kuweka Pesa
Unaweza kuweka pesa na kutoa pesa kwnye account yako kupitia Mpesa, Mix by yas, Halopesa, Airtel money. Utatumia pia njia hizo hizo kutoa pesa
Namba ya kuwasiliana na Betkumi
Kama una tatizo lolote unaweza kuwasiliana na Betkumi huduma kwa wateja kupitia nambari ya moja kwa moja, +255741221111
Hitimisho:
Kampuni ya betkumi imesajiliwa Tanzania kwa mujibu wa bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania na kupewa leseni ya kuendesha michezo ya kasino yenye namba Betkumi is operated by Betkumi Limited and is licensed and regulated by the Gaming board of Tanzania (GBT) under the Gaming Act, Cap 2003, Laws of Tanzania. License No. OCL000000030
Soma Pia : Jinsi ya kujisajili Slotpesa

Post a Comment