Slotpesa ni kampuni ya kucheza kasino za mtandaoni inayomilikiwa na Betfounder iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria na kupewa leseni bodi ya michezo Tanzania.Nambari ya leseni: OCL000000013 katika makala hii tutareview, jinsi ya kujisajili slotpesa, michezo inayopatikana (maarufu) jinsi ya kucheza, pamoja na kuweka na kutoa pesa
JINSI YA KUJIUNGA SLOTPESA
Kujisajili la slotpesa Tanzania Bofya >HAPA> kisha jaza namba yako ya simu pamoja na password . Kisha jisajili . Baada ya kujisajili utaweza kuingia kwenye account yako muda wowote kwa kubofya login. Kama umesahau password yako uliyoipata wakati wa kujiunga unaweza kubofya forgotten passwords utapokea passwords mpya katika simu yako.
MICHEZO INAYOPATIKANA SLOTPESA
Ipo michezo mbalimbali ya casino na alots inayopatikana katika tovuti ya casino ya slotpesa kama ifuatavyoa
- Aviator
- Super Heli
- Daladala
- Aviatrix
- Jetx
- Aviabet
- Blast
- Aero
- Airboss
- Crash royale
- Comet crash
- Maevick
- Skyward
- Pilot
- Buffalo 10,000
- Twin spin
- Barning classic Go wild
- Fruit mania
- Dolla Dolla
- flaming Hot
- Hot fruits
- Extra crown
- Sweet bonanza
- Live casino
JINSI YA KUCHEZA MICHEZO YA KASINO SLOTPESA
Kucheza michezo ya kasino ni rahisi, haikuhitaji ujuzi mkubwa ili kucheza, ipo michezo ya kuweka pesa na kuzungusha kusubiri bahati yako, ipo michezo ya kurusha ndege na kuwahi kuchukua ushindi na michezo mingine ya namba. Uzuri pia michezo hiyo ina sehemu ya majaribip, vile vile unaweza kuanza kucheza kwa kiwango kidogo kidogo mpaka utakapo uzoea mchezo husika.
MICHEZO RAHISI YA KUCHEZA
Kwa mujibu wa tafiti zetu mchezo rahisi kucheza kwa mtu yeyote hata mgeni ni pamoja na , mchezo wa Aviator (kindege) Jetx , Aztec game, Mayan Gold pamoja na michezo mingine ya Slots
Mbinu za kucheza
- Anza kucheza na kiwango kidogo
- Cheza kwa kiwango unachomudu
- Cheza kwa kiasi
- Anza kwa kucheza Demo ili upate usoefu
- Kumbuka kushinda ni bahati hakuna mbinu nyingine yoyote unayoweza kuitumia zaidi, ingawa kucheza mara kwa mara unaweza kusoma sehemu y mchezo.

Post a Comment