Jinsi ya Kujisajili 1win promo Code : WCB7



Summary : 1win nikampuni ya kimataifa ya kuweka madau pamoja na casino za mtandaoni ambayo hufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani.  Kulingana na tafiti zetu tumeona nikampuni halisi , inayoweza kutoa huduma bora kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na malipo ya haraka.

Table of contents
  • Kufungua account ya 1win Hatua kwa hatua
  • Promo code ya 1win
  • Jinsi ya kuweka na kutoa pesa
  • Faida na hasara za kutumia 1win
  • mawasiliano ya 1win
  • Maoni yetu kuhusu 1win
Hatua za Jinsi ya kujisajili 1win
Hapa tutajadili hatua kwa hatua jinsi ya kuweza kusajili account mpya ya 1win ambayo utaitumia katika kuweka dau pamoja na kucheza mchezo wa kasino mtandaoni. Fanya hatua hizi
  1. Tembelea tovuti ya 1win.com au ingia google tafuta 1win.com au unaweza kuingia 1win moja kwa moja kwa kubofya >HAPA>
  2. Ingiza namba ya simu
  3. Jaza barua pepe au gmail
  4. Jaza password  ambayo utaikumbuka angalau iwe na tarakimu au herufi 8 jumla
  5. Bofya Add promo code kisha ingiza promo code ya 1win ambayo ni WCB7
  6. Bofya register (baada ya hapo account yako itakuwa tayari.
  7. endelea na hatua nyinginezo. 
Picha ikionesha Hatua za kujisajili 1win


Promo code ya 1win (add promo code)
Promo code ni code maalumu za kujisajili kwaajili ya kupokea bonasi mbalimbali za kampuni au tunaweza kusema ni utambulisho maalumu wa bonasi flani kwa mteja. Promo code ya 1win ni WCB7  Hii hutumika mara moja tu wakati wa kujisajili na mteja kufuzu kwenye bonasi za kampunj kama vile, bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza .

Jinsi ya kuweka na Kutoa pesa katika kampuni ya 1win
Mchakato wa kuweka na kutoa pesa nirahisi, na unaweza kuweka na kutoa kupitia njia za simu ya mkononi  kama vile Mpesa, mix by yas, Halopesa, airtel money ,na njia nyingine za kidigitali na sarafu mtandao. Kuweka pesa bofya Deposit, chagua njia, weka kiwango, kutoa chagua withdrawal  , weka kiasi unachotaka kutoa.

Faida na hasara za kutumia 1win
Kwa kuanza na faida 1win ina faida hizi
👍 Malipo ya haraka, huduma nzuri kwa wateja, bonasi ya kujisajili, bonasi na mashindano, nirahisi kutumia, michezo mingi, odds nzuri na nono, machaguo mengi

👎Hasara zake : , hawaweki baadhi ya michezo ya ligi kuu tanzania bara, baadhi ya bonasi zina masharti. Mawasiliano ya namba ya simu ni ya kimataifa

Jinsi ya Kuwasiliana na 1win
Mawasiliano ni jambo la muhimu sana , unaweza kuwasiliana na 1win iwapo unachangamoto yeyote wakati wa kutumia kampuni yao , mawasiliano ni 24\7 kupitia barua pepe support@1win.social, security@1win.social  , simu, +7(800)30177-89 (for Russia) au +7(495)08888-98 (world )  au telegrams  bot @FAQ_1win_bot
 
Hitimisho
Baada ya tafiti zetu na mapitio mbalimbali tume thibitisha kampuni.hii ni nzuri  kwako kutumia na kufurahia hiduma zake. Cheza kistaarabu . 

Post a Comment

Previous Post Next Post