Sokabet Tanzania ni kampuni ya kubashiri mtandaoni, nchini tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria katika bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania GBT kwenye taarifa hizi
"Sokabet.co.tz is operated by Digital Gaming Solutions Limited registered in Tanzania. All correspondence to Director General 27th Floor, PSPF Towers, Mission Street Postal Address: PO Box 1717, Dar es Salaam, TANZANIA Gaming Board of Tanzania Licence Number 01227. Issued on 05/08/2019. Internet Casino License Number : OCL000000009 issued on 21/07/2022 Chanzo : Tovuti ya sokabet Tanzania
Tangu kipindi hicho kampuni hii imekuwa ikitoa huduma mablimbali za michezo ya kubashiri pamoja na kasino za mtandaoni
Hapa tumekuwekea mchakato wa kujisajili sokabet kwa haraka.
1. Ingia google tafuta sokabet theni ingia au bofya >HAPA> kuniunga
2. Jaza number ya simu ya mkononi unayotumia - mobile number
3. Tengeneza password yako - password
4. Dhibitisha password - comfirm password
5. Kubali vigezo na masharti - I'm atleast 18 yrs
6. Bofya jisajili - finish registration
Angalia picha hapa jinsi ya kujinga kwa urahisi
Baada ya kukamilisha kujiunga unaweza kuendelea na hatua nyinginezo kama kuweka pesa kwenye account yako na kucheza- Bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza asilimia 150%
- Bonasi ya cashback kwenye casino
- Freebet and free spin bonus ukiwa mchezaji wa mara kwa mara
- Malipo ya haraka pale unaposhinda
- Michezo mingi ya mpira wa miguu
- Michezo mingi ya casino
- Odds kubwa
- Huduma nzuri kwa wateja
- Jackpot
- Huwezi kudeposit kwa njia za cryptocurency
- Number ya simu uliyojisajilia ndio hiyo hiyo utatumia kutolea pesa
- Hairuhusiwi kuwa na account zaidi ya moja
- Baadhi ya michezo ya ligi kuu ya tanzania haiwekwi


Post a Comment