Haya ni machaguo au options mbalimbali za kubashiri katika kampuni mbalimbali za kubashiri, ambazo mchezaji hubashiri idadi ya magoli yanayoweza kutokea kwa mafungu. Machaguo haya maarufu hupatikana katika app mbalimbali za betting duniani na Tanzania
Huu haoa mchanganuo wa Option ya over na under katika kampuni za kubashiri.
1.maana Ya over , hii maana yake ni magoli juu ya number husika.
2. Maana ya under, maana yake magoli chini ya number husika.
- Over 0.5 maana yake lipatikane kuanzia goli moja na kuendelea
- Under 0.5 maana yake kusiwepo na magoli katika mchezo
- Over 1.5 maana yake kupatikane kuanzia magoli mawili na kuendelea
- Under 1.5 maana yake pasiwepo na goli zaidi ya goli moja
- Over 2.5 maana yake yapatikane zaidi ya magoli mawili
- Under 2.5 maana yake yasipatikane magoli zaidi ya mawili
- Over 3.5 maana yake yapatikane zaidi ya magoli matatu
- Under 3.5 maana yake magoli yasizidi matatu.
- Over 4.5 maana yake magoli yaanze matano na kuendelea
- Under 4.5 maana yake magoli kuanzia manne na chini yake.
Hivyo hivyo katika number nyingine za over na under magoli yaanzie number husika kushuka chini kwa under na yazidi number husika kwenda juu. Option hii hushinda sana hasa over 1.5 na mara nyingi over 0.5 kwa timu zenye kufunga magoli mengi .
Pamoja na hayo ni muhimu kuchukua thadhari na kubashiri kwa kiasi na kuhakikisha una umri wa zaidi ya miaka 28 pale unapobashiri.

Post a Comment