Mambo yanatosababisha pesa isitoke kwenye account .
1. umeshinda kupitia bonasi (Hujatimiza masharti) zipo kampuni ambazo hutoa bonasi kwa masharti hivyo kama hujatimiza sharti la bonasi inaweza kusumbua
2. hujabetia Pesa yote uliyodeposit . Zipo kampuni nyingi ambazo ili utoe pesa nilazima pesa uliyodeposit uibetie kwa 100% mfano kama umedepoait 1000 ukabetia jero ukashinda milion huwezi kutoa mpaka uweke mkeka mwingine wa jero itimie 1000
3. Unatoa kwa njia Tofauti na uliyoweka , mfano kuna kampuni kama ukiweka kwa Airtel money basi ni lazima utoe kwa airtel money
4. Tatizo la mfumo, mara nyingi kampuni ya simu husika inaweza kuwa na changamoto , au kwa siku hiyo miamala imeshazidi bilion 50. kwa kawaida kampuni zimelimitiwa kutovuka kiwango fulani kwa siku hivyo kama ni pesa kubwa kuna uwezekano ukakumbana na changamoto hiyo.
5. Fixed game ,, kama tunavyojua kama umetumiwa mechi ya fixed ( sio prediction) kwa kawaida hata ukishinda huwezi kulipwa na unaweza kukumbana na kesi.
6. Wakala amelala ,, mara nyingi kwa kampuni zinazotumia mawakala wa malipo wakala anaweza kuwa nje ya eneo lake hivyo subra ni muhimu
7. Sajili account kwa majina yako ya kitambulisho. hii itakusaidia endapo umeshinda pesa nyingi fedha nyingi hazilipwi kiholela.
Hatua za kufanya.
1. kama unachangamoto yetote anza kwa kuwasiliana na huduma kwa wateja na fuata maelekezo watakayokupa
2. Kama wameshindwa kutatua changamoto yako unaweza kuwasilisha malalamiko kwenye bodi ya michezo ya bahati nasibu online

Post a Comment