jinsi ya kujisajili Mostbet Tanzania na promo code

Mostbet nikampuni ya kimataifa ya betting  Duniani inayofanya kazi katika nchi mbalimbali duniani. Kwasasa kampuni ya mostbet inapatikana Tanzania , miongoni mwa nchi nyingine. Kampuni ya mostbet ni miongoni mwa kampuni zenye leseni ya curacao. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009 kwamujibu wa tovuti ya mostbet huku wakifanya kazi katika nchi 93 duniani na zaidi ya wachezaji milion moja katika nchi mbalimbali. Promo code ya Mostbet ni ipi? Kwasasa promo code ya mostbet ni A7771  vilevile kampuni hii huzingatia malipo ya haraka, pamoja na huduma nzuri kwa wateja.

Jinsi ya Kujiunga Mostbet kwa Uharaka
Kujisajili katika kampuni ya kubeti kwa haraka nijambo linalotafutwa na kila mtu hapa nitakueleza jinsi ya kuweza kufungua account yako kwa Haraka. 
1. Hatua ya kwanza tembelea tovuti ya mostbet.com kisha bofya Signup
2. Hatua ya pili  Jaza Email na password
3. Bofya enter promo code Jaza A7771
4. Hatua ya nne bofya CONTINUE TO STEP 2
5. Jaza jina la kwanza
6.jaza jina la mwisho/ukoo
7. Andika tarehe, mwaka mwezi wakuzaliwa
8. Chagua jinsia then Continue to step 3.
9 . Jaza namba ya simu, andika sehemu unapotoka pamoja na mji, postal code jaza 0000 kisha bofya Start the  game  account yako itakuwa tayari
Kujisajili kwa urahisi Zaidi Bofya >>Hapa>> kisha chagua 1click (mguso mmoja) ingiza promo code peke yake kisha jisajili. Promo code imeshatajwa hapo juu angalia

Kuhusu Promo Code Ya Mostbet
Hii ni namba maalumu kama tulivyokwisha kuiona hapo juu kwaajili ya kujiunga kwa wateja wapya ambayo huambatana na bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 750,000 kwa mujibu wa tovuti ya mostbet pamoja na bonasi na ofa nyinginezo. Promo code hiyo hujazwa nara moja tu wakati wakufungua account mpya 

Kuhusu Bonasi za kubeti na Mostbet
Kwa mujibu wa tovuti ya mostbet zipo bonasi mbalimbali zinazotolewa na kampuni hii pamoja na ofa kama ifuatavyo
1. Bonasi ya kujiandikisha na kuweka pesa kwa mara ya kwanza hadi 2,700,000 
2. Bonasi ya kumwalika rafiki yako ambapo utalipwa 15% kulingana na mapato
3. Free spin za kwenye casino ukipakua app ya mostbet
4. Bonasi ya kupewa 60% ya kiasi utakachodeposit kila jumanne (hampion Tuesday bonus)
5. 10% cashback hapa utarudishiwa kiasi ulichopoteza kwenye casino kwa asilimia 10
6. Zipo bonus nyingine kama bonasi ya siku yako ya kuzaliwa, bonasi ya kucheza mara kwa mara n.k

Hatua kwa Hatua Jinsi ya kudownload app ya mostbet katika kifaa chako
Huu ni mchakati rahisi wa kupakua programu tumishi ya mostbet katika simu yako fuata hatua hizi ili kudownload
1. Bofya >HAPA>
2. Hakikisha umeruhusu kupokea app kutoka nje ya playstore , allow from unknown source 
3. App itaingia moja kwa moja katika simu yako install na uanze kutumia

BETI KISTAARABU
kubeti kistaarabu ni mchakato wa kubwti kwa kutumia akili na kuweka kiwango ambacho hutaumia endapo utapoteza, tfadhali bashiri kiwango unachokimudu


Post a Comment

Previous Post Next Post