Mkeka wa leo : SIMBA vs Yanga ( Kariakoo Derby

Leo majira ya 18:00 utapigwa mchezo wa Derby kubwa afrika mashariki ambapo Simba watawakaribisha Yanga . Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kutopata matokeo ya mabaya mfululizo huku tangu 2019 mapka leo simba akifanikiwa kushinda michezo miwili kati ya 19 aliyocheza na Yanga. Mara ya mwisho kupata ushindi dhidi ya Yanga katika ligi ilikuwa ushindi wa 2 kwa 0 alio andikisha 2023 baada ya uke ushindi wa 1-0  mwaka 2019
Asilimi Za ushindi leo kwa mujibu wa betting books
Simba anapewa asilimia nyingi kidogo za kuibuka na ushindi lakini pungufu ya 50% sawa na asilimia 43%
, Nafasi ya mchezo kuibuka sare ni asilimia 30%
Huku yanga akipewa asilimia 27% za kuibuka na ushindi, Hii inaashiria nini? Kwa takwimu hizi zinaashiria vuwango vinavyokaribiana  na uwezo unaozidi kidogo kwa timu ya nyumbani, pamoja na kuashiria ushindi mwembamba au matokeo yanayokaribiana sana kama vile 1-0 1-1 au 0-0

Matokeo ya michezo mitano iliyopita H2H
matches
01.03.26 Young:  Africans 0 Simba 0
16.09.25 Young Africans 1 Simba 0
25.06.25 Young Africans 2: Simba 0
19.10.24 Simba 0 Young Africans 1
08.08.24 Young Africans 1 Simba 0

Utabiri wetu 
Kulingana na matokeo na mwenendo wa timu hizi mbili unaweza kujaribu option hizi under 2.5 / X/ 2-2 /0-0
Angalia Odds BETWAY . Promo code( Voucher code ) Jaza TZA84

Kumbuka kubeti kistaarabu


Post a Comment

Previous Post Next Post