Maana ya 1Up, 2Up na 3Up kwenye kampuni za betting

 


1up, 2up au 3up ni  ushindi wa mapema ambao hutolewa na kampuni ya kubeti ambapo timu inapofanikiwa kupata ushindi huo basi unalipwa mapema hata kama matokeo yatabadilika baadae kwamfano Chelsea anacheza na Manchester united halafu kaweka 2Up kwa chelsea ikitokea chelsea akifunga goli mbili mapema hata kama ni kipindi cha kwanza basi utahesabika umeshinda hata kama mechi hiyo itaisha kwa chelsea kufungwa 3-2 au sare ya 2-2 mradi tu chelsea aongoze goli mbili mwanzo.

Ushindi wa kawaida.

Kwa baadhi ya  kampuni kama umeweka 2up  timu ya nyumbani kushinda halafu ikatikea timu hiyo kushinda kwa 1-0 basi unahesabika umeshinda kwenye ushindi wa kawaida na 2up haijafanya kazi , lakini katika kampuni nyingine kama umeseti 2up halafu ikatikea timu hiyo kushinda 1 kwa 0 basi utahesabika umepoteza, nimuhimu kusoma vigezo na masharti.

Soma pia : Paripesa: Easy Guide To Register And Use Promo Code A84

Jinsi ya kuweza kuweka Chaguo la 1up, 2up au 3Up

Chaguo hili linaweza kukusaidia kushinda lakini mara nyungi ugumu wa kushinda mkeka upo pale pale , hivyo unapochagua chaguo hilo nilazima ufanye analysis  yakutosha. 1up ina nafasi kubwa ya kushinda kuliko 2Up na 3Up na hata alama zake hazufanani, chagui hili huweza kusaidia pale ambapo timu inaweza kuongoza na baadaye matokeo kubadilika kuwa sare.

Hitimisho

Kumbuka kubeti kistaarabu kila mara na kucheza kiwango unachoweza kumudu endapo utapoteza.


Post a Comment

Previous Post Next Post