Ligi kuu ya Nbc inaendela leo ambapo kutapigwa mchezo mmoja, TRA united zamani Tabora united ikiwaalika maafande Tanzania prisons.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali, wenye ushindani kutokana na historia na matokeo ya hivi kaeibuni ya timu hizo.
H2H
Katika michezo mitatu walizokutana Tabora united(TRA) na Tanzania prison miwili imemalizika kwa sare, huku Tabora aakiibuka na ushindi katika mchezo mmoja
UTABIRI WETU
FT TRA united 1: 1 Tanzania prisons [ normal [ Under 2.5] hizi ni prediction tu
mchezo huu unapatikana wapi? Mchezo huu unapatikana 888bet kwa odds kubwa , Bofya >HAPA> kuweka mkeka
Endelea kusoma makala zetu

Post a Comment