Prediction NBC KMC vs Mtibwa Sugar

 


KMC inawakaribisha Mtibwa sukari huku ikiwa na msururu wa matokeo dhaifu , hata hivyo mtibwa nayo imekuwa ikijikongoja kunako msuimamo wa ligi kuu ya NBC. Mtibwa sukari inashikilia nafasi ya 13 kwa alama zake 5 huku KMC ikifunga mkia na alama 3, aidha mchezo unatarajiwa kuwa mgumu kulingana na historia ya timu hizo mbili kukaribiana na pia michezo ya H2H

Katika michezo mitatu waliyokutana Kmc dhidi ya Mtibwa, KMC ameandikisha matokeo kwa kushinda michezo miwili huku mtibwa sukari akishinda mmoja na hawajawahi kuandikisha sare.


Utabiri wetu

FT KMC 1 MTIBWA 0 [ normal under 2.5]

Zingatia huu ni utabiri na matokeo yanaweza kubadilika kwa namna yoyote.

Mchezo huu unapatikana katika kampuni ya 888bet unaweza kuweka mkeka wako kwa Kubofya >HAPA>


Tembelea tovuti hii kwa habari mbalimbali kuhusu betting.

Soma Pia : Jinsi ya kujisajili 1win Tanzania 

Post a Comment

Previous Post Next Post