Ligi kuu ya NBC inatarajia kuendelea kwa michezo miwili kupigwa November 21. Katika viwanja viwili tofauti Namungo akishuka uwanjani kuwakaribisha Dodoma huku Kmc wakiwakaribisha Jk Tanzania
Msimamo Ulivyo
1. Namungo FC Vs Dodoma FC
Namungo anashika nafasi 10 na alama zake 6 huku Dodoma Fc akishika nafasi ya 14 na alama 5
Mchezo huu unatarajiwa kuwa mchezo mgumu ingawa Namungo anapigiwa upatu kupata ushindi mwemwamba au sare katika mchezo huu.
2. KMC FC JKT Tanzania
Jkt tanzania anashika nafasi ya 7 na alama zake 7 huku KMC akishika mkia na alama 1. Nafasi kubwa anapewa JK tanzania kupata alama katika mchezo huu .
UTABIRI WETU
1.Namungo FC 1 : 0 Dodoma FC [Normal 1X]
2. KMC FC 0 : 1 JKT Tanzania [ Normal 2X]
Kumbuka huu ni utabiri tu kulingana na takwimu za timu husika
Michezo Hii inapatikana 888bet Bofya >HAPA> Kubeti
Soma pia

Post a Comment