Mkeka waleo Ligi kuu ya NBC Singida Vs Tanzania prison na Jkt Tanzania Vs TRA


 Ligi kuu ya NBC inaendelea tena leo ambapo michezo mitatu inatarajiwa kupigwa, Singida watakutana na Tanzania prisons, jkt Tanzania  wakikutana na TRA united huku Costal union wakiwakaribisha Mbeya city

Msimamo wa ligi kuu ya Tanzania


Singida wanashika nafasi 8 na alama 7, TRA wanashika nafasi ya 10 kwa alama zao 6, 
Tanzania prison wanashika nafasi ya 11 na alama 5 huku jkt Tanzania  akishika nafasi ya nne na alama 10. Costal union wanashika nafasi ya 14 kwa alama 5, huku mbeya city wakishika nafasi ya 7 kwa alama 8

Prediction
1. Singida Vs Tz prisons FT 1X correct score try 1-1
2. Jkt tanzania  vs TRA 1 [ 1-0] under 1.5
3. Costal union Vs Mbeya city 1-1 normal X2


Mechi zote zinapatikana katika  888bet unaweza kujiunga kwa kubofya >HAPA>

Beti kistaarabu

Soma pia : Jinsi ya kujisajili 1win Tanzania

Post a Comment

Previous Post Next Post