Betika ni kampuni ya kubashiri mtandaoni nchini tanzania. Vilevile inafanya kazi katika nchi mbalimbali kama vile Mozambique , zambia, ghana, na south africa. Betika ni kampuni mashuhuri kutokana na ubora wake, huduma nzuri kwa wateja, miongoni mwa huduma nyingine.
Jinsi ya kujisajili Betika
Fuata hatua hizi ili uweze kujisajili Betika
1. Ingia katika tovuti ya betika kwa kubofya >HAPA>
2. Jaza namba ya simu
3. Jaza majina yako
4. Tengeneza password yako
5. Kubali sheria na masharti
6. Bofya jiunge ili kujisajili
Angalia picha hapa chini hatua mbalimbali za kujiunga Betika
Baada ya kujiandikisha unaweza kuweka pesa kwenye account yako ili uweze kufurahia huduma za betika Tanzania.
Faida za kubeti na betika
- Nirahisi kutumia
- Huduma nzuri kwa wateja
- Michezo mingi
- Options nyingi
- Mchezo wa aviator
- casino mbalimbali
Je una tatizo lolote? Unaweza kuwasiliana na betika kwa njia za live chat au kupitia namba ya simu ya betika piga namba CONTACTS 0659 070 700
WhatsApp +255752695981
Email msaada@betika.com
Kumbuka kubashiri kistaarabu

Post a Comment