Jinsi ya kutoa pesa 1win

 


1win nikampuni ya kimataifa ya kubeti na kucheza kasino mtandaoni, kampuni hii imekuwa ikipendwa na watu mbalimbali kutokana na ubora wa huduma wanazotoa. Kampuni hii ina leseni ya kimataifa ya curacao ya kuendesha michezo ya bahati nasibu.

Katika andiko hili tutajadili namna yakutoa pesa katika kampuni  ya kubeti ya 1win. Kama bado hujajisajili katika kampuni ya kubeti ya 1win unaweza kujisajili kwa njia zifuatazo

1. Tembelea tovuti ya 1win.com

2. Jaza namba ya simu

3. Tengeneza password

4. Jaza promo code ya 1win kwaajili ya bonasi ambayo ni WCB7

5. Bofya jisajili

Hatua za kutoa pesa 1win

Unaweza kutoa na kuweka pesa kupitia njia zote za simu ya mkononi kama vile Mpesa, airtel money, halopesa , Mix by yass, vilevile njia za kidigital na cryptocurency

  • Hakikisha kiwango ulichodeposit umekibetia au kucheza casino kwa 100% yani kama umedeposit 10,000 hakikisha umebeti au kucheza kasino kwa kiasi cha tsh 10,000
  • Kiasi ulichoshinda ndicho utatoa
  • Kama kuana active bonus uliyopewa  hakikisha unaitumia kabla ya muda wake kuisha
  • Chagua njia ya kutoa pesa kama ni voda , au Airtel, hakikisha jina ulilosajili account kwenye profile linaendana na namba itakayopokea pesa
  • Kama kuna tatizo la mtandao utatakiwa kujaribu tena baada ya muda fulani.
  • Kama kuna changamoto unaweza kuwasilina na huduma kwa wateja kupitia live chat
Je Pesa inaweza kupotea ikiwa 1win?
Hapana pesa yako uliyoshinda nilazima ulipwe hupaswi kuwa na wasiwasi wowote kuhusu pesa yako . Pesa yako itakuwa kwenye usalama wa hali ya juu sana.

Hatua za kutoa Pesa baada ya Ushindi
  1. Bofya withdrawal
  2. chagua njia ya kutoa
  3. Weka kiasi 
  4. Toa
Utapokea code kwenye barua pepe jaza 
Baada ya hapo unaweza kuangalia status  ya muamala uliotoa kama kuna changamoto utaambiwa kama hakuna pesa itakuwa ndani ya simu yako kwa muda mufupi

Post a Comment

Previous Post Next Post