Betsever ni program maalumu ambayo inasaidia usikose kabisa pale timu tatu, mbili, au moja zinapochana mkeka wako. Umewahi kusikia timu moja haichani mkeka? Basi katika makala haya tutajikita zaidi kukuonesha kampuni ambayo timu moja haichani mkeka pale unapopoteza katika mkeka wako.
Kampuni ya kubeti ya betway inatoa programu hiyo ambapo wateja wanapata ofa hiyo kupitia Voucher code ( promo code ya TZA84)
Jinsi ya kujiunga Betway
1. Tembelea tovuti ya betway au tafuta google betway au Jiunge kwa kubofya > HAPA >
2. Jaza namba ya simu
3. Tengeneza password
4. Bofya ihave promo code au ninayo promo code , Jaza TZA84 ambapo hujulikana pia kama voucher
5. Accept bonuses , na terms and conditions.
Betsever inavyofanya kazi ya kulinda mkeka wako
Wakati wa kuweka mkeka option ya betserver huonekana katika mkeka wako lakini huwa active pale ambapo utaweka timu zenye odds zinazotakiwa katika program. Hivyo unatakiwa kuendelea kuchagua timu mpaka pale utakapoona huduma ya betsever imekuwa active katika mkeka wako
Angalia picha Hapa chini
Hapa unaona huduma ya Betsever ipo active ambapo jumla ya timu 16 zimewekwa katika mkeka . Ambapo kama nitakosa timu moja nitalipwa 15/16 , timu mbili 14/16 , timu tatu 13/16
Faida ya Betserver
Faida kubwa ya program hii ni kusaidia mkeka wako usipoteze moja kwa moja badala yake upokeee malipo fulani baada ya kupoteza timu moja au mbili katika mkeka wako. Hivyo program hiyo ni muhimu sana hasa kwa wale watu wakuweka matren ambayo huchanwa na timu moja au mbili.
Mwisho: kumbuka kubeti kistaarabu na kuweka kiwango unachomudu.

Post a Comment