Coldbet ni kampuni ya kimataifa ya kubeti mtandaoni , inayo operate katika nchi mbalimbali duniani. Kampuni hii inatoa huduma ya kubashiri mtandaoni , pamoja na michezo mbalimbali ya kasino kwamfano, Crash game, Aviator , Hot fruits, michezo ya kuspin nakadhalika. Kampuni hii ina leseni ya curacao . Ikiwa na maana unaweza kuweka mkeka wako bila kuwa na wasiwasi wowote. Promo code ya wateja wapya wa Coldbet ni AB84
Katika andiko hili tutajadili kwa kina hatua mbalimbali za kufungua Account mpya ya coldbet kwaajili ya kubeti na kuwecheza michezo ya kasino.
Jinsi ya kujiunga coldbet
Bila shaka ungependa kufahamu jinsi ya kufungua account na kufurahia huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hii , hapa ni mchakato wa jinsi ya kujisajili.
Zipo njia mbalimbali za kujiunga kama vile
1. Kujiunga kwa namba ya Simu ya mkononi
- Tembelea tovuti ya coldbet.com
- Jaza namba ya simu kisha bofya send sms.
- Jaza promo code ya coldbet ambayo ni AB84
- Bofya register au jisajili.
Hapa chini picha ikionesha hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga coldbet kwa namba ya simu kwa urahisi
Kujiunga kwa njia ya one- click ( kwa urahisi)
Kujiunga kwa 1click ndio njia rahisi zaidi ya kujisajili ambapo utatakiwa kujaza promo code AB84 peke yake kisha kubofya Register.
Screenshot ikionesha jinsi ya kujisajili kwa 1click
Baafa ya kujiunga utapekea password na aid number yako , hifadhi kwaajili ya kuinhia muda wowote. Baada ya hapo unaweza kuingia sehemu ya profile na kujaza taarifa hitajika.
Kujiunga kwa kutumia mitandao ya kijamii kama Google,appe Id, Na telegram
Jinsi ya kufanya, chagua mtandao husika mfano, Google jaza promo code kama inavyoonekana katika picha hapo chini. Bofya jisajili.
Picha ikionesha hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga kwa kutumia mitandao ya kijamii
Hapa ni njia za kuweka pesa na kutoa Coldbet
Suala la kuweka pesa na kutoa katika kampuni ya kubeti ni jambo la muhimu sana . Zifuatazo ni njia za kuweka na kutoa pesa Coldbet
Unaweza kuweka pesa kwa njia zifuatazo
Mpesa, Tigo pesa, Halopesa, Airtel money, na njia nyingine za Crypto.
Njia za kuweka pesa za simu
Hapa chini ni njia za kidigitali ( pesa mtandao)
Jinsi ya kutoa pesa Coldbet
Baada ya kushinda , unaweza kutoa oesa kirahisi katika mtandao au app ya coldbet kwa urahisi fuata hatua hizi ili uweze kutoa pesa.
1. Chagua njia ya kutolea Halopesa
2.jaza kiasi kati ya 7500 hadi 3,000,000
3. Jaza jina la kwanza na la ukoo
4. Jaza namba ya simu bila kuanza na 0 mfano 766605......
5. Chagua aina ya kitambulisho ulicho nacho mfani kitambukisho cha taifa
6. Jaza namba ya nida
7. Comfim au dhibitisha, pesa itaingia ndani ya account yako kwa muda nfupi.
Jinsi ya kuwasiliana na Coldbet
je una changamoto yoyete na ungependa kuwasiliana na ili kutatua changamoto hiyo?
Tumia mawasiliano haya
Security department: security@cold.bet
Technical support: support-en@cold.bet
Queries and suggestions: complaints@cold.bet
Queries about blocked: accountsblock@cold.bet
Hitimisho:
Unakumbushwa kucheza kistaarabu na kucheza kiwango unachoweza kumudu kama ukipoteza
Post a Comment