Vunjabeibet nikampuni ya kubashiri nchini tanzania iliyosajiliwa hivi karibuni. Kampuni hiyo imesajiliwa kuendesha michezo ya betting Tanzania kwa taarifa hizi
Game Guys Group Limited, trading as Vunjabei Bet is licensed and regulated by the Gaming Board of Tanzania, under License No. OCL000000026
Vunjabeibet inamilikiwa na nani?
Mmiliki wa kampuni hii inamilikiwa kwa ubia,chini ya kampuni ya Game Guys Group limited yenye makao makuu Nairobi kenya iliyoanzishwa 2022. Kampuni hii pia inafanya kazi katika nchi mbalimbali africa mashariki na kusini kama Vile , Kenya , Uganda, zambia, Mozambique, Ethiopia na DRC
Jinsi ya Kujisajili Vunjabei Bet Tanzania
Kampuni hii ina mfumo rahisi wakujiunga ambapo nirahisi sana kufungua aacount mpya. Hatua zakujiunga
1. Tembelea tovuti ya Vunjabeibet
2. Bofya jisajili
3. Jaza namba ya simu
4.Tengeneza password
5.Jaza msimbo wa matangazo ( Promo A84 code) kisha bofya Next
6. Jaza barua pepe
7.Bofya Register / Jisajili.
Picha ikionesha Hatua ya kwanza ya kufungua account ya Vunjabei bet kisha endelea hatua ya pili.
Hatua ya pili ni kujaza barua pepe na kubofya jisaji
Jinsi ya kuwasiliana ( Huduma kwa wateja)
Una tatizo lolote na ungependa kuwasiliana na vunjabei bet? Wasiliana kwa barua pepe (e-mail )
CONTACT US
Please state your MOBILE NUMBER in the email with your question:
support@vunjabeibet.com
Hitimisho:
Kumbuka kubeti kistaarabu na kucheza kiwango ambacho unaweza kukimudu endapo utapoteza.
Post a Comment