Jinsi ya kujisajili Sportybet kwa urahisi

Sportybet ni kampuni  ya betting inayoendesha huduma zake katika nchi mbalimbali africa , kama vile, Tanzania,  Zambia, Ghana, Kenya, Nigeria, Cameroon, na south africa. Kampuni hii imesajiliwa kwa mujibu wa sheria kuendesha michezo ya betting na casino za mtandaoni. Hapa tutajadili hatua kwa hatua jinsi ya kufungua account miongoni mwa mambo mengine.
Hatua za kufungua account
1. Hatua ya kwanza tembelea tovuti au ingia google tafuta sportybet Tz . Au ingia katika tovuti ys sportybet.com/tz kisha bofya Join now
2. Hatua ya pili jaza namba yako ya simu katika mtandao wa vodacom, Airtel, au Yas kisha bofya Next.
3. Hatua ya 3 Set password,  password nilazima iwe na jumla ya namba na herufi 8 , na nilazima iwe na herufi moja kubwa na ndogo na namba kuanzia moja kwamfano. Tanganyika9 au Kilimanjaro7
4. Hatua inayofuata Create account , hakikisha una miaka 18 na kuendelea. 
5. Hatua ya tano ni Verift Mobile number. Chagua njia ambayo utatumiwa namba 6 za kuthibitisha account yako kati ya Telegram au kutumiwa kwa njia ya sms. Kama ukichagua Telegram hakikisha umejiunga kwa namba uliyojisajili. Kama hauna telegram chagua njia ya Sms OTP
6. Hatua inayofuata utatakiwa kujibu swali rahisi ili ku thibitisha wewe ni binadamu  kama swali huliwezi zungusha kiduara cha kijani kupata swali lingine. Mfano 8x1+10=?  jaza jibu lako 18 kisha submit 
7. Hatua inayofuata watakutumia namba 6 kwa njia ya sms jaza kwa usahihi katika vibox. Baada ya hapo Account yako itakuwa Tayari.

Nimesahau Password ya sportybet nifanyeje?
Kusahau passwords  ni jambo la kawaida ambalo linaweza kumtokea mtu yeyote. Fuata hatua hizi ili kupata password  mpya ikiwa umesahau ya awali.
-Ingia katika tovuti au app ya sportybet
-Bofya login
-Bofya forgot password ?
- Find account, ingiza namba yako ya simu uliyojisajilia kisha bofya Next.
-Chagua njia ya kutumia OTP code , mfano Sms OTP
-Utapokea Sms Jaza namba ulizotumiwa
- Reset password hapa utatakiwa kuweka password  mpya utakayoikumbuka. Kumbuka password nilazima iwe na jumla ya maneno na number jumla 8 na kuwe na herufi kubwa moja na nyingine ndogo , pamoja na angalau namba moja mfano , Kilimanjaro9
- Confirm, Hapo tayari utakuwa umeset password mpya.

Namba ya kuwasiliana na Sportybet
Kama una changamoto yeyote na ungependa kuwasiliana na huduma kwa wateja sportybet unaweza kuwasiliana kwa mawasiliano yafuatayo, Bofya customers  support 24/7 kisha chagua shida husika. Au piga simu +255748774890 au Email, tanzania.support@sportybet.com

Mwisho
Kumbuka kubeti kistaarabu. Kubeti kunaweza kukusababishia addiction, kama tayari umepata addiction tafuta usaidizi katika bodi ya michezo ya bahati nasibu. 

Post a Comment

Previous Post Next Post