Mchezo wa Aviator umekuwa ukiwavutia watu wengi ambao hufurahia kurusha ndege huku wakikusanya ushindi mbalimbali. Huku wengine wakiangukia pua baada ya kuangusha ndege bila ushindi. Hata hivyo michezo yote ya bahati nasibu hupaswa kuchezwa kwa kiasi.
Katika andiko hili tutajadili mbinu mbalimbali zinazoweza kukupa ushindi kwenye mchezo wa kindege au Aviator.
Table of content
- Chagua kampuni nzuri ya kucheza Aviator
- Kuangalia mizunguko iliyopita
- Kuchukua ushindi mapema
- Mbinu ya kusubiri kwa dau dogo
- Kudhibiti Hasira na kucheza kwa kiasi
Chagua Kampuni nzuri ya kucheza Aviator
Kama inavyojulikana kuwa mchezo wa aviator hutolewa na studio ya Sprible na huchukuliwa katika kampuni mbalimbali kulingana na mahitaji na features mbalimbali za ushindi . Hivyo mizunguko ya aviator kati ya kampuni na kampuni haifanani hata nafasi za ushindi nitofauti baadhi ya kampuni hubana sana nafasi za ushindi. Hapana nakuwekea kampuni 2 ambazo zina nafasi nzuri zaidi za ushindi kuliko kampuni nyingine kulingana na uchambuzi wa wataalamu wetu
1. 888bet Aviator , unaweza kujiungana kampuni hii na kucheza kwa kubofya >HAPA>
2. Pmbet Aviator , kampuni hii ni miongoni mwa kampuni zenye nafasi nyingi za ushindi ukilinganisha na kampuni nyingine. Unaweza kujiunga na Pmbet kwa Kubofya >HAPA>
Mbinu ya kuangalia Mizunguko iliyopita
Wakati unaingia katika uwanja wa kucheza aviator , utaona history ya mizunguko iliyopita hivyo unaweza kutumia matokeo hayo kutabiri round zijazo , hapa itategemea na utashi wako na namna unavyoweza kuhisi. Ikiwa utaangalia mchezo au kucheza kwa muda unaweza kuanza kutabiri matokeo ya round zinazofuata kwa kuangalia history
Kuwahi kuchukua Ushindi Mapema
Hii ni miongoni mwa mbinu zenye matokeo mazuri ikiwa utacheza katika kampuni nzuri. Mara nyingi round zinaweza kufika 2.0 na kuendelea pengine 3.0, 5.0, 6.0, 10 na kuendelea hadi zaidi ya mara laki 5(jackpot ) tumia mbinu ya auto cashout ambapo unaweza kuweka dau kubwa unaloweza kumudu na kuchukua ushindi mapema hasa katika odds hizi, 1.30, 1.50, 1.60, 1.70, 1.80, 1.99, 2.0
Mbinu ya kusubiri
mbinu hii hatari inaweza kukupa ushindi mkubwa kwa dau dogo. Hapa mchezaji unatakiwa kuweka dau dogo mpaka la wastani unaloweza kumudu na kusubiri hadi alama za juu kabisa na kuchukua ushindi, mara nyingi huwekwa madau mawili na kuchukua moja mapema huku ukiacha lingine lipepee hadi alama za juu mfano mchezaji anaweza kuweka 100 na kusubiri hadi mara x1000 au zaidi , au anaweza kuweka 500 na kusubiri hadi mara 30. Mara nyingi washindi wakubwa waliweka dau dogo nakusubiri hadi ushindi wa mwisho NB hukuna namna utakayoweza kujua ndege itaanguka muda gani au katika alama zipi.
Kudhibiti Hasira na kucheza kwa kiasi
Hii ni mbinu itakayokuokoa ili usipoteze sana. Tenga bajeti na kuwa ndani ya bajeti yako, epuka kucheza kwa hasira au panic baada ya kupoteza. Tuliza akili utacheza tena kwa muda mwingine.
Mwisho wa makala
Post a Comment