Promo code ya kujisajili Betway Tanzania | Betway promo code



Promo code ya betway ni code maalumu za kujisajili kwa wateja kwa mara ya kwanza. Promo code ya betway kwa sasa ni TZA84 hutumika mara moja wakati wa kujisajili. ingia latika tovuti ya betway.co.tz sehemu palipoandikwa ninayo promo code( ihave a promo code, Jaza TZA84 .

Betway nikampuni ya kubashiri inayoendesha shughuli zake katika nchi mbalimbali duniani. Hapa Africa Betway inafanya kazi katika nchi hizi
  • Tanzania
  • Zambia
  • Nigeria
  • Botswana
  • Ghana
  • Msumbiji
  • Malawi
Betway umekuwa ikipendwa na watumiaji wengi kutokana na huduma nzuri kwa wateja, malipo ya hara, odds au alama kubwa , michezo mingi ya casino na huduma ya Cash out. 

Jinsi ya Kujisajili Betway Tanzania
Ili uweze kutumia promo code au kubashiri na betway  utatakiwa kuandikisha account yako ya betway . Hizi hapa hatua kwa hatua jinsi ya kuweza kujiunga.
  1. Tembelea tovuti ya betway tanzania au bofya > Ingia Sasa>
  2. Jaza namba yako ya simu
  3. Tengeneza password  yako
  4. Bofya nianayo promo code kisha jaza TZA84
  5. Kubali sheria na masharti kwa kubofya ili kuweka alama ya tiki
  6. Bofya jisajili.
Faida za kujiunga Na Betway Tanzania 
Unaweza kujiuliza kuna faida yoyote ya kujisajili na betway Tanzania ? Jibu ni ndio zipo faida mbalimbali za kujiunga na betway kama vile ,
  • Huduma ya cashout katika mkeka wako
  • Huduma ya malipo ya haraka
  • Huduma nzuri kwa wateja 24/7
  • Timu moja haichani mkeka (vigezo na masharti hutumika)

Hitimisho : kwa mujibu wetu betway tanzania nimiongoni mwa kampuni bora zaidi za kubashiri  hapa Africa . Nikampuni iliyosheheni michezo mingi pamoja na casino nyingi za mtandaoni

Post a Comment

Previous Post Next Post