Ligi kuu ya nbc inatarajiwa kuendelea leo ambapo Mashujaa fc watakuwa wenyeji wa Costal union. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ukali wa aina yake kutokana na nafasi ya timu husika , hata hivyo haitarajiwi magoli Mengi.
Nafasi katika Msimamo
Mashujaa Fc wanashika nafasi ya 3 katika msimamo na alama 12 huku costal Union wakishika nafasi ya 9 na alama 8 angalia msimamo hapa Chini .
Utabiri Wetu
FT Mashujaa 1 Costal union 0 (Normal 1X, under 2.5)
Unaweza kubeti mchezo huu kwa kubofya >HAPA>
Endelea kusoma makala zetu.
Soma pia: Jinsi ya kujisajili 1win


Post a Comment