Ligi kuu ya NBC itaendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo Mabingwa wa Kihistoria Yanga watakipiga na Tanzania Prisons. Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu kulingana na historia ya matokeo ya timu husika zinapokutana, ambapo Prisons wamekuwa wakionesha Upinzani mkali.
MSIMAMO WA LIGI KUU YA NBC NA NAFASI ZA TIMU HUSIKA
Yanga anashika Nafasi ya 5 na alama 10 huku akiwa amecheza michezo minne , Tanzania prisons anashika nafasi ya 13 akiwa amecheza michezo 6 ambayo imempa alama 6. Katika msimamo tunaona Yanga akiwa na nafasi bora zaidi ya kupata ushindi, kuliko Tanzania prisons
H2H MATOKEO YA HIVI KARIBUNI TIMU HIZI ZINAPOKUTANA
Katika michezo 10 waliyokutana kati ya Yanga na Tanzania prisons , Yanga ameshinda michezo 6 huku wakitoka sare michezo minne , prisons hajawahi kushinda mchezo wowote.
UTABIRI WETU
FT Tz Prisons 0 Yanga 2 [ normal x2 ]
Beti mchezo huu kwa kubofya >HAPA>
Soma pia : Jinsi ya kujisajili 1win


Post a Comment