Mkeka Simba Vs Namungo Mechi kali

Simba na Namungo watakuwa Uwanjani leo kusaka alama 3 muhimu katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Simba akishika nafasi ya pili na alama 39, Namungo anashika nafasi ya 10 na alama 22. 

H2H kati ya Simba na Namungo
Timu hizi zimekutana mara nyingi huku Simba akiibuka mbabe mara nyingi. makutano ya hivi karibuni ya mechi ya simba dhidi ya namungo ni kama ifuatavyo
Head-to-head matches
  1. 01.10.25 Simba 3 Namungo 0
  2. 19.02.25 Namungo 0 Simba 3
  3. 25.10.24 Simba 3 Namungo 0
  4. 30.04.24 Namungo 2 Simba 2
  5. 09.11.23 Simba 1 Namungo 1
Tathimini kwa asilimia 100 katika michezo hii Simba na Namungi wamefungana zaidi ya goli 1.5
-Kwa asilimia 100% Simba amepata matokeo,  either sare au Ushindi
-Simba na Namungo kwa sasa wana Safu butu za ushambuliaji 
-Simba ni rahisi kuruhusu Goli kwa michezi ya karibuni
UTABIRI WETU
Kwa matokeo Haya Simba anayo Nafasi kubwa ya kushinda. Angalia Odds BETWAY . Promo code( Voucher code ) Jaza TZA84
Beti kistaarabu


Post a Comment

Previous Post Next Post