Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2026

Maana ya 1Up, 2Up na 3Up kwenye kampuni za betting

  1up, 2up au 3up ni  ushindi wa mapema ambao hutolewa na kampuni ya kubeti ambapo timu inapofanikiwa kupata ushindi huo basi unalipwa mapema hata kama matokeo yatabadilika baadae kwamfano Chelsea anacheza na Manchester united halafu kaweka 2Up kwa chelsea ikitokea chelsea akifunga goli mbili mapema hata kama ni kipindi cha kwanza basi utahesabika umeshinda hata kama mechi hiyo itaisha kwa chelsea kufungwa 3-2 au sare ya 2-2 mradi tu chelsea aongoze goli mbili mwanzo. Ushindi wa kawaida. Kwa baadhi ya  kampuni kama umeweka 2up  timu ya nyumbani kushinda halafu ikatikea timu hiyo kushinda kwa 1-0 basi unahesabika umeshinda kwenye ushindi wa kawaida na 2up haijafanya kazi , lakini katika kampuni nyingine kama umeseti 2up halafu ikatikea timu hiyo kushinda 1 kwa 0 basi utahesabika umepoteza, nimuhimu kusoma vigezo na masharti. Soma pia : Paripesa: Easy Guide To Register And Use Promo Code A84 Jinsi ya kuweza kuweka Chaguo la 1up, 2up au 3Up Chaguo hili linaweza kukusaid...

Mkeka wa leo : SIMBA vs Yanga ( Kariakoo Derby

Leo majira ya 18:00 utapigwa mchezo wa Derby kubwa afrika mashariki ambapo Simba watawakaribisha Yanga . Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kutopata matokeo ya mabaya mfululizo huku tangu 2019 mapka leo simba akifanikiwa kushinda michezo miwili kati ya 19 aliyocheza na Yanga. Mara ya mwisho kupata ushindi dhidi ya Yanga katika ligi ilikuwa ushindi wa 2 kwa 0 alio andikisha 2023 baada ya uke ushindi wa 1-0  mwaka 2019 Asilimi Za ushindi leo kwa mujibu wa betting books Simba anapewa asilimia nyingi kidogo za kuibuka na ushindi lakini pungufu ya 50% sawa na asilimia 43% , Nafasi ya mchezo kuibuka sare ni asilimia 30% Huku yanga akipewa asilimia 27% za kuibuka na ushindi, Hii inaashiria nini? Kwa takwimu hizi zinaashiria vuwango vinavyokaribiana  na uwezo unaozidi kidogo kwa timu ya nyumbani, pamoja na kuashiria ushindi mwembamba au matokeo yanayokaribiana sana kama vile 1-0 1-1 au 0-0 Matokeo ya michezo mitano iliyopita H2H matches 01.03.2...