Hili ni swali linalowatatiza wengi hasa pale unapotaka kuingia kwenye account yako na kukuta umesahau nyila yako. Kwanza ni muhimu kutengeneza password utakayoikumbuka wakati wa kuhitaji kuingia kwenye account yako Hata hivyi habari njema ni kwamba unaweza kuipata tena password yako au kuiweka upya. Kampuni za kubeti huwa zina huduma ya kuomba kuweka upya kwa password uliyoisahau. Mradi tu uwe unakumbuka barua pepe uliyotumia kujiunga au mara nyinyingine Id number. Jinsi ya kufanya Ingia katika tovuti au app uliyosahau password kisha bofya Forgotten password , create new password au unda neno la siri jipya. Baada ya hapo watakuimba barua pepe au id number, kisha option ya ku create new passwords itatumwa katika barua pepe yako (e-mail) baada ya kutumwa watakupa ujumbe kuwa tumekutumia barua pepe ya kuweka upya password yako. Baada ya hapo ingia katika barua pepe yako , E-mail addrrss angalia inbox au katika spam folder utakuta umetumiwa u...