Ligi kuu ya nbc inatarajiwa kuendelea leo ambapo Mashujaa fc watakuwa wenyeji wa Costal union. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ukali wa aina yake kutokana na nafasi ya timu husika , hata hivyo haitarajiwi magoli Mengi. Nafasi katika Msimamo Mashujaa Fc wanashika nafasi ya 3 katika msimamo na alama 12 huku costal Union wakishika nafasi ya 9 na alama 8 angalia msimamo hapa Chini . Tofauti ya alama kati ya Mshujaa na costal union sio kubwa ni takribani alama 4 hivyo ni timu ambazo hazipishani uwezo sana. Utabiri Wetu FT Mashujaa 1 Costal union 0 (Normal 1X, under 2.5) Unaweza kubeti mchezo huu kwa kubofya >HAPA> Endelea kusoma makala zetu. Soma pia: Jinsi ya kujisajili 1win