Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2026

jinsi ya kujisajili Mostbet Tanzania na promo code

Mostbet nikampuni ya kimataifa ya betting  Duniani inayofanya kazi katika nchi mbalimbali duniani. Kwasasa kampuni ya mostbet inapatikana Tanzania , miongoni mwa nchi nyingine. Kampuni ya mostbet ni miongoni mwa kampuni zenye leseni ya curacao. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009 kwamujibu wa tovuti ya  mostbet  huku wakifanya kazi katika nchi 93 duniani na zaidi ya wachezaji milion moja katika nchi mbalimbali. Promo code ya Mostbet ni ipi? Kwasasa promo code ya mostbet ni A7771   vilevile kampuni hii huzingatia malipo ya haraka, pamoja na huduma nzuri kwa wateja. Jinsi ya Kujiunga Mostbet kwa Uharaka Kujisajili katika kampuni ya kubeti kwa haraka nijambo linalotafutwa na kila mtu hapa nitakueleza jinsi ya kuweza kufungua account yako kwa Haraka.  1. Hatua ya kwanza tembelea tovuti ya mostbet.com kisha bofya Signup 2. Hatua ya pili  Jaza Email na password 3. Bofya enter promo code Jaza A7771 4. Hatua ya nne bofya CONTINUE TO STEP 2 5. Jaza ...

Jinsi ya kujiandikisha Db Bet Tanzania kwa Promo Code

Db-bet ni kampuni ya betting ya kimatifa yenye leseni ya curacao , inayoendesha shughuli zake za michezo ya bahati nasibu katika mataifa mablimbali ikiwemo tanzania, india, bangladeshi Kenya , uturuki, Nepal na nchi nyingine mbalimbali duniani. Promo code ya Dbbet ni ipi? Kwasasa promo code ya kujiunga Db-bet ni A84 ambayo huambatana na bonasi mbalimbali wakati wa kuweka amana kwa mara ya kwanza na nyinginezo. Sasa tuangalie Kwanini Ujiunge Db-Bet?  Kwa kawaida kila anayechagua kampuni ya betting hutarajia huduma bora zinawoweza kukidhi mahitaji yake, kwamujibu wa tafiti zetu tunaweza kukuwekea faida ba hasara za kujiandikisha na kampuni ya Db-bet Faida za kujiunga  ✅Malipo ya haraka pale unaposhinda ✅Bonasi ya ukaribisho 130% ✅Michezo mingi ya kubashiri ✅Masoko Mengi ✅Huduma nzuri kwa wateja ✅Urahisi wa kuweka na kutoa Pesa Hasara Za kujiunga Db-bet  ✅ Haina local office utawasilina kwa njia za barua pepe na telegram  peke yake ✅Kiwango cha kutoa pesa huanza 2000 kw...

Mkeka Simba Vs Namungo Mechi kali

Simba na Namungo watakuwa Uwanjani leo kusaka alama 3 muhimu katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Simba akishika nafasi ya pili na alama 39, Namungo anashika nafasi ya 10 na alama 22.  H2H kati ya Simba na Namungo Timu hizi zimekutana mara nyingi huku Simba akiibuka mbabe mara nyingi. makutano ya hivi karibuni ya mechi ya simba dhidi ya namungo ni kama ifuatavyo Head-to-head matches 01.10.25 Simba 3 Namungo 0 19.02.25 Namungo 0 Simba 3 25.10.24 Simba 3 Namungo 0 30.04.24 Namungo 2 Simba 2 09.11.23 Simba 1 Namungo 1 Tathimini kwa asilimia 100 katika michezo hii Simba na Namungi wamefungana zaidi ya goli 1.5 -Kwa asilimia 100% Simba amepata matokeo,  either sare au Ushindi -Simba na Namungo kwa sasa wana Safu butu za ushambuliaji  -Simba ni rahisi kuruhusu Goli kwa michezi ya karibuni UTABIRI WETU Kwa matokeo Haya Simba anayo Nafasi kubwa ya kushinda.  Angalia Odds  BETWAY  . Promo code( Voucher code ) Jaza TZA84 Beti kistaarabu

Jinsi ya kujisajili Sportybet kwa urahisi

Sportybet ni kampuni  ya betting inayoendesha huduma zake katika nchi mbalimbali africa , kama vile, Tanzania,  Zambia, Ghana, Kenya, Nigeria, Cameroon, na south africa. Kampuni hii imesajiliwa kwa mujibu wa sheria kuendesha michezo ya betting na casino za mtandaoni. Hapa tutajadili hatua kwa hatua jinsi ya kufungua account miongoni mwa mambo mengine. Hatua za kufungua account 1. Hatua ya kwanza tembelea tovuti au ingia google tafuta sportybet Tz . Au ingia katika tovuti ys sportybet.com/tz kisha bofya Join now 2. Hatua ya pili jaza namba yako ya simu katika mtandao wa vodacom, Airtel, au Yas kisha bofya Next. 3. Hatua ya 3 Set password,  password nilazima iwe na jumla ya namba na herufi 8 , na nilazima iwe na herufi moja kubwa na ndogo na namba kuanzia moja kwamfano. Tanganyika9 au Kilimanjaro7 4. Hatua inayofuata Create account , hakikisha una miaka 18 na kuendelea.  5. Hatua ya tano ni Verift Mobile number. Chagua njia ambayo utatumiwa namba 6 za kuthi...

Utabiri wa mkeka Chelsea Vs Manchester United

Chelsea Watawakaribisha Manchester  united katika mwendelezo wa ligu kuu ya EPL mchezo unaotarajiwa kuwa mkali. Chelsea hawahawa na mwendelezo mzuri wa matokeo  huko manchester  wao wakiharibu zaidi katika michezo mitatu i liyopita. Chelsea anatoka katika kipigo kutoka kwa manchester city huku united akiuguza kipigo alichokipata kutoka kwa leads wikiend iliyopita.  MSIMAMO WA EPL NAFASI YA CHELSEA NA MANCHESTER UNITED Kunako msimamo wa ligi kuu ya Epl chelsea anashika nafasi ya 6, kwa alama 48 akiwa amecheza michezo 32 Huku manchester united akishika nafasi ya 3 kwa alama 55 akiwa amecheza michezo 32. MATOKEO TIMU HIZI ZILIPOKUTANA MICHEZO YA KARIBUNI H2H Katika michezo ya karibuni zilipokutana timu hizi mbili nikama ifuatavyo 2025 : Man united 2 Chelsea 1 2025: Chelsea 1 man united 0 2024: Man united 1 Chelsea 1 2024: Chelsea 4 Man united 3 2023: Man united 2 Chelsea 1 2023: Man united 4 Chelsea 1 2022: Chelsea 1 Man united 1 2022: Man united 1 Chelsea 1...

Mkeka wa Leo AZAM Vs JKT Tanzania

Azam Fc leo usiku watakuwa dimbani wakiwakaribisha maafande wa JKT Tanzania , mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani wa Aina yake. Huku azam akipewa asilimia 68% za ushindi, Sare 22% na Jkt Tanzania 10% za ushindi. Michezo waliyokutana Azam Vs Jkt Tanzania H2H Katika michezo tisa kati ya Azam na jkt Tanzania , Azam ameshinda michezo minne , Sare michezo mitano huku JKT Tanzania hakuwahi kupata ushindi dhidi ya Azam. Idadi ya Magoli Katika michezo yote 9 kumefungwa jumla ya magoli 14 huku Azam akifunga mgoli 10. Na jkt magoli manne. Katika michezo mitatu ilimalizika bila kufungana goli lolote yani 0-0. Michezo yenye zaidi ya magoli mawili ni mchezo wa 27/12/2024 uliomalizika kwa Azam kushinda 3-1 na mchezo wa 11.12.2023 ambapo Azam alishinda 2-1 Tutarajie Nini leo Tunatarajia mchezo mgumu wa ushindani usiikuwa na Magoli mengi. Kwa wale wawekezaji wanaweza kujaribu double  chance ya Azam au AZam kushinda Utabiri wetu FT AZAM 1 JKT TZ 0 Normal 1X , GG NO Angalia Odds BETWAY...

Ashinda milion 10 kwa kucheza Aviator Bangbet

  Mshiriki mwenye id number 207***09 ameibuka na ushindi mnono kwenye mchezo wa aviator  maarufu kama kindege katika kampuni ya kubeti na kucheza casino mtandaoni ya bangbet. Baada ya ushindi huo pesa yake iliwekwa moja kwa moja kwenye account yake.  Mchezo Wa aviator  unachezwaje? Mchezo huu maarufu kama kindege huchezwa kwa kuweka dau na kusubiri ndege ipae wakati huo huo ukitakiwa kuchukua ushindi wako kabla ndege haijaungua/peperuka (flew out)  Kadri unavyosubiri kwa muda mrefu alama zinaoanda na ushindi unaongezeka lakini ukiwa na hatari kubwa zaidi ya kupoteza kuliko kuwahi kuchukua ushindi mapema. Kumbuka kucheza kistaarabu Mchezaji mzuri ni yule anayecheza kistaarabu na kucheza kiwango anachoweza kumudu kama akipoteza. Unaweza kutembelea tovuti ya bangbet kwa kuanza kucheza sasa

Jinsi ya kujisajili Vunjabeibet

Vunjabeibet nikampuni ya kubashiri nchini tanzania iliyosajiliwa hivi karibuni. Kampuni hiyo imesajiliwa kuendesha michezo ya betting Tanzania kwa taarifa hizi  Game Guys Group Limited , trading as Vunjabei Bet is licensed and regulated by the Gaming Board of Tanzania, under License No. OCL000000026 Vunjabeibet inamilikiwa na nani? Mmiliki wa kampuni hii inamilikiwa kwa ubia,chini ya kampuni ya Game Guys Group limited yenye makao makuu Nairobi kenya iliyoanzishwa 2022. Kampuni hii pia inafanya kazi katika nchi mbalimbali africa mashariki na kusini  kama Vile , Kenya , Uganda, zambia, Mozambique, Ethiopia na DRC  Jinsi ya Kujisajili Vunjabei Bet Tanzania Kampuni  hii ina mfumo rahisi wakujiunga ambapo nirahisi sana kufungua aacount mpya. Hatua zakujiunga  1. Tembelea tovuti ya Vunjabeibet  2. Bofya jisajili  3. Jaza namba ya simu  4.Tengeneza password   5.Jaza msimbo wa matangazo ( Promo A84 code) kisha bofya Next 6. Jaza baru...

Betsaver inavyoweza kuoka mkeka- Timu moja haichani mkeka

Betsever ni program maalumu ambayo inasaidia usikose kabisa pale timu tatu, mbili, au moja zinapochana mkeka wako. Umewahi kusikia timu moja haichani mkeka? Basi katika makala haya tutajikita zaidi kukuonesha kampuni ambayo timu moja haichani mkeka pale unapopoteza katika mkeka wako. Kampuni  ya kubeti ya betway inatoa  programu hiyo ambapo wateja wanapata ofa hiyo kupitia Voucher code ( promo code ya TZA8r4 )  Jinsi ya kujiunga Betway  1. Tembelea tovuti ya betway au tafuta google betway au Jiunge kwa kubofya > HAPA >  2. Jaza namba ya simu 3. Tengeneza password 4. Bofya ihave promo code au ninayo promo code , Jaza TZA84    ambapo hujulikana pia kama voucher  5. Accept bonuses  , na terms and conditions.  Betsever inavyofanya kazi ya kulinda mkeka wako Wakati wa kuweka mkeka option ya betserver huonekana katika mkeka wako lakini huwa active pale ambapo utaweka timu zenye odds zinazotakiwa katika program. Hivyo unatak...

Jinsi ya kujisajili Coldbet wateja wapya

Coldbet ni kampuni ya kimataifa ya kubeti mtandaoni , inayo operate katika nchi mbalimbali duniani. Kampuni hii inatoa huduma ya kubashiri mtandaoni , pamoja na michezo mbalimbali ya kasino kwamfano, Crash game, Aviator , Hot fruits, michezo ya kuspin nakadhalika. Kampuni hii ina leseni ya curacao . Ikiwa na maana unaweza kuweka mkeka wako bila kuwa na wasiwasi wowote. Promo code ya wateja wapya wa Coldbet ni AB84 Katika andiko hili tutajadili kwa kina hatua mbalimbali za kufungua  Account mpya ya coldbet kwaajili ya kubeti na kuwecheza michezo ya kasino. Jinsi ya kujiunga coldbet Bila shaka ungependa kufahamu jinsi ya kufungua account na kufurahia huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hii , hapa ni mchakato wa jinsi ya kujisajili.   Zipo njia mbalimbali za kujiunga kama vile 1. Kujiunga kwa namba ya Simu ya mkononi T embelea tovuti ya coldbet.com Jaza namba ya simu kisha bofya send sms. Jaza promo code ya coldbet  ambayo ni AB84 Bofya register au jisajili. Hapa chini...