Mkeka wa Leo AZAM Vs JKT Tanzania

Azam Fc leo usiku watakuwa dimbani wakiwakaribisha maafande wa JKT Tanzania , mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani wa Aina yake. Huku azam akipewa asilimia 68% za ushindi, Sare 22% na Jkt Tanzania 10% za ushindi.

Michezo waliyokutana Azam Vs Jkt Tanzania H2H
Katika michezo tisa kati ya Azam na jkt Tanzania , Azam ameshinda michezo minne , Sare michezo mitano huku JKT Tanzania hakuwahi kupata ushindi dhidi ya Azam.
Idadi ya Magoli
Katika michezo yote 9 kumefungwa jumla ya magoli 14 huku Azam akifunga mgoli 10. Na jkt magoli manne. Katika michezo mitatu ilimalizika bila kufungana goli lolote yani 0-0.
Michezo yenye zaidi ya magoli mawili ni mchezo wa 27/12/2024 uliomalizika kwa Azam kushinda 3-1 na mchezo wa 11.12.2023 ambapo Azam alishinda 2-1

Tutarajie Nini leo
Tunatarajia mchezo mgumu wa ushindani usiikuwa na Magoli mengi. Kwa wale wawekezaji wanaweza kujaribu double  chance ya Azam au AZam kushinda

Utabiri wetu
FT AZAM 1 JKT TZ 0 Normal 1X , GG NO
Angalia Odds BETWAY . Promo code( Voucher code ) Jaza TZA84
Tukutane katika michezo mingine hapa hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post