Skip to main content

Utabiri wa mkeka Chelsea Vs Manchester United

Chelsea Watawakaribisha Manchester  united katika mwendelezo wa ligu kuu ya EPL mchezo unaotarajiwa kuwa mkali. Chelsea hawahawa na mwendelezo mzuri wa matokeo  huko manchester  wao wakiharibu zaidi katika michezo mitatu i liyopita. Chelsea anatoka katika kipigo kutoka kwa manchester city huku united akiuguza kipigo alichokipata kutoka kwa leads wikiend iliyopita. 
MSIMAMO WA EPL NAFASI YA CHELSEA NA MANCHESTER UNITED
Kunako msimamo wa ligi kuu ya Epl chelsea anashika nafasi ya 6, kwa alama 48 akiwa amecheza michezo 32 Huku manchester united akishika nafasi ya 3 kwa alama 55 akiwa amecheza michezo 32.

MATOKEO TIMU HIZI ZILIPOKUTANA MICHEZO YA KARIBUNI H2H
Katika michezo ya karibuni zilipokutana timu hizi mbili nikama ifuatavyo
  1. 2025 : Man united 2 Chelsea 1
  2. 2025: Chelsea 1 man united 0
  3. 2024: Man united 1 Chelsea 1
  4. 2024: Chelsea 4 Man united 3
  5. 2023: Man united 2 Chelsea 1
  6. 2023: Man united 4 Chelsea 1
  7. 2022: Chelsea 1 Man united 1
  8. 2022: Man united 1 Chelsea 1
  9. 2021: Chelsea 1 Man united 1
  10. Chelsea 0 man united 0
Tathimini, katika michezo yote 10 ambapo timu hizi mbili zimekutana imekuwa na goli zaidi ya moja katika michezo 8 sawa na asilimia 80% ( Over 1.5) huku michezo miwili tu wakitoa chini ya Goli moja na mchezo uliomalizika kwa sare tasa ni mchezo mmoja.

UWEZO WA TIMU HIVI KARIBUNI
Katika michezo ya hivi karibuni kwa upande wa chelsea kunako ligi kuu ya Epl Amepoteza michezo mitatu mfululizo, Akipoteza 1 kwa 0 dhidi ya Newcastle Nyumbani, akapoteza 3 kwa 0 dhidi ya Everton, ugenini na akapoteza 3 kwa 0 dhidi ya manchester City
Kwa Upande wa Manchester United
Amepoteza 2-1 dhidi ya leeds nyumbani, akatoa sare ya 2-2 dhidi ya Bournemouth na akashinda 3-1 dhidi ya Aston villa.

UTABIRI WETU
Angalia Odds Betway , promo code ya bonasi Jaza TZA84
FT 2X / Over 1.5 / X  correct score Try 2-2 

Tukutane hapa hapa kwa uchambuzi wa mikeka.

Comments

Popular posts from this blog

​888bet Moçambique: A Guide to  Registration and Betting

​888bet Moçambique is a betting platform licensed by the inspector general of gaming under licence n.026/IGJ/JDS/2023.  888 Bets has quickly become a premier destination for sports fans and online gaming across the country. Operating under the globally recognized 888Africa brand, the platform offers a secure, licensed and local-friendly environment for bettors. Clique >AQUI> ​How to Join 888bet Moçambique;  Step-by-Step Registration ​Follow these steps to create your 888bet account: 1.Visit the official site : Head to>> https://m.888bets.co.mz/en on your mobile or desktop browser. 2.Click the "Join" button: Look for the bright orange button located at the top right corner of the homepage. 3.Enter your mobile number: Provide a valid Mozambican phone number starting with +258. 4.Set your password: Choose a strong password to keep your funds and personal data safe. 5.Confirm your age: Check the box to confirm you are 18 years or older and that you agree ...

​Fansport Registration and Promo Code: Unlock Your Welcome Bonus

​Fansport has established itself as a premier international sportsbook and entertainment hub since its launch in 2016. Operating under a Curaçao license, the platform serves a global audience by providing a high-tech, secure, and stable environment for both sports and casino players. ​The platform offers an entertainment featuring over 30 sports for pre-match and live betting Beyond sports, Fansport have a live casino with real dealers and thousands of slots from top global providers. The platform ensures a transparent and fair gaming environment supported by 24/7 customer assistance. How To use A promo Code Using promo code AB84 on Fansport unlocks the platform’s welcome offers for new players. Based on current bonus structures, this code can be applied during registration to access the 200% Welcome Sports Bonus or specific Free Bet rewards. Benefits of Using Promo Code AB84: -Multi-deposit boost: It activates a 200% bonus spread across your first four deposits, with a max...

Bandabets Malawi (888bets Malawi) www.mw.bandabets.com

(888bets Malawi Moved To bandabet Malawi) About Bandabets Malawi  Bandabets Malawi is operated by Port Achia Trade Limited. Sports betting is licensed by the Malawi Gaming and Lotteries Authority under the Gaming and Lotteries Act, 2022, Licence No. 2025/5BL/01. Internet gaming and casino operations are licensed by the Malawi Gaming and Lotteries Authority under the Gaming and Lotteries Act, 2022, Internet Gaming Licence No. 2025/IG/01. Bandabets Malawi is online betting and casino platform which uperate under malawi gambling board law, with full registered, in bandabet you can place bet and casino game. bet Mw it offer fast and instant payment, first deposits  bonus, and good customers  care.  Bandabets Soccer : Everday you can stake your bet on bandabet Mw, among of sposts available  is , Epl , laliga, ligue one, seria A, Serie B, Ligue 2, Belgium league, championship, NBc, Betway league, supersport ligue, Fkf, virtual sports, casino games, aviator , slots, fr...